Saturday, May 19, 2012

Huu Muungano vipi?


Wazanzibar wengi wameonyesha kutaka serikali tatu, wakati viongozi wa Bara wamekuwa waking’ang’ania mfumo wa sasa wa serikali mbili.

Watu wenye busara wanatambua kwamba kuna Wazanzibar ambao hawautaki muungano huu katika hali yoyote, na pia kuna Watanganyika ambao pia hawautaki muungano huu katika sura yoyote.

Hiyo ndiyo hali halisi, kwani hakuna mtu aliyewahi  kuwahesabu watu wasioutaka muungano huu, wala kuwahesabu wanaoutaka.

Watu pekee wanaofahamika wazi kuutetea muungano huu  ni viongozi walioko madarakani Tanzania  Bara na Visiwani Zanzibar.  Huutetea muungano huo kwa sababu wanazozijua wao!

Ikumbukwe kwamba muungano huu unaohusisha wapatao milioni 42 wa Bara na milioni moja tu wa Visiwani.  Kwa miaka yote muungano huu 48 umeijengea Zanzibar woga wa kumezwa na ndiyo maana katika muda wote huo imepigana hadi kupata wimbo wake wa taifa, bendera yake, katiba yake na kadhalika.
Wazanzibar bado wanapigania uanachama Umoja wa Mataifa (UNO), Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Jumuia ya Kimataifa ya Waislam (IOC), Shirikisho la Soka Afrika (Caf), na kadhalika.

Kwa nini wanafanya hivyo?  Wanataka utambulisho wa Zanzibar na historia yake viendelee duniani.
Si hivyo tu, limejitokeza suala la mafuta kuwemo eneo la baharini Zanzibar ambayo Wazanzibar wanasema ni mali yao pekee.  Pia kuna tatizo  la rais wao kutokuwa na madaraka katika serikali ya muungano na kutokuwa makamu wa jamhuri ya muungano.

Yote hayo na mengine, hayajapewa utatuzi, watawala wakiamini kwamba watu watayasahau.
Mambo hayo hayasahauliki!

Mwaka 1985, bunge la Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM)  lilipitisha azimio la kuanzishwa kwa muungano wa serikali tatu, lakini  Mwalimu Julius Nyerere alikuja na sababu zake na kulizima azimio hilo!

Kwa heshima na woga waliokuwa nao kwa Nyerere, wabunge wakanyamaza!

Ndivyo Watanzania walivyokuwa.  Kuzungumzia muungano ulivyokuwa, hasa enzi za Nyerere, lilikuwa kosa la jinai.  Hivyo watu waliendelea kukaa kimya si kwa kuupenda sana muungano, bali kwa kuogopa kuukosoa wasije wakawaudhi watawala!

Hivi leo, Wazanzibar, hususani vijana, wanaamini sababu zilizounda muungano mwaka 1964 leo hii hazipo tena, hivyo wanataka Zanzibar iendelee na historia na utamaduni wake bila kuihusisha Tanganyika.

Hali hii ni tofauti na kauli za  watawala wanaotaka kuzima hisia hizo  kwa visingizio kwamba “muungano ni tunu kutoka kwa Mungu” na hivyo usijadiliwe katika mchakato wa kupata katiba mpya.

Muungano huu haukutoka kwa Mungu.  Ulianzishwa hapahapa duniani na Nyerere na Karume, ‘full stop’!

Ifahamike wazi kwamba muungano ni kitu cha hiari, si cha kulazimisha au kulazimishwa.

Hilo liko wazi kwa watu wenye busara.

Mwalimu Nyerere na Karume hawakuwa malaika kwamba walichokipitisha hakijadiliwi.  Vilevile, muungano  si Biblia wala Koran, vitu ambavyo havihojiwi na waumini wake kuhusu uhalali wake.

Wakati wa kuamua hatima ya muungano huu ni sasa.  Mjadala wa katiba mpya ijayo ulijadili hili bila kujali kauli za wanasiasa ambao hujifanya wana busara zote mikononi mwao.

Wazanzibar ambao wamekuwa wakiulalamikia zaidi muungano huu kuliko Watanganyika, wapewe fursa ya kuulizwa iwapo wanautaka au la.

Kama wanautaka waseme uwe wa aina gani, na kama wanaukataa hakuna haja ya kuendelea na muungano usiotakiwa upande mmoja.

Muungano uvunjike na maisha yaendelee kama yalivyokuwa kabla ya Aprili 26, 1964.
Mbona majirani zetu wa Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji, na kadhalika tunaishi nao kwa kuheshimiana na kupendana wakati hatuna muungano nao?

Muungano ni kitu chema, lakini kisilazimishwe kwa ajili ya kumwogopa marehemu  Nyerere na Karume!

Tuesday, May 15, 2012

THE RIGHT FRUITS AND WATER CONSUMPTION


THE RIGHT FRUITS AND WATER CONSUMPTION = LIFE, 
                                     BUT THE VICE VERSA = DEATH.
      PLEASE READ THIS RESEARH THOROUGHLY THEN FORWARD IT TO OYHERS SAVE                                                                       LIVES INSHAALLAH!
 
 
 
الموضوع بقلم : الدكتور عبدالرحمن القحطاني
 
و الدكتور :  ستيفن ماك
 
 
=================================================================================
الفاكهـــة و فـــوائدهــــا
Eating Fruit - this opened my eyes.
Dr Stephen Mak is a friend of mine at the BSF course.
 He told me he treats terminal ill cancer patients by "un-orthodox" way and many patients recovered.
 He explains to me before he is using solar energy to clear the illnesses of his patients. 
 He believes on natural healing in the body against illnesses. See the article below.


Thanks for the email on fruits and juices. It is one of the strategies to heal cancer.
 As of late, my success rate in curing cancer is about 80%.
Cancer patients shouldn't die. The cure for cancer is already found.
It is whether you believe it or not.
 I am sorry for the hundreds of cancer patients who die under the conventional treatments.
Thanks and 
ALLAH bless you.
Dr Stephen Mak
 
EATING FRUIT... 
أكـــل الفاكهـــــة

We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you think. It's important to know how and when to eat.
 
What is the correct way of eating fruits? 
 
IT MEANS NOT EATING FRUITS AFTER YOUR MEALS! * FRUITS SHOULD BE EATEN ON AN EMPTY STOMACH.
تناول الفواكه 
نعتقد جميعا أن تناول الفاكهة يعني: شرائها ، تقطيعها ،  ثم وضعها في أفواهنا. ولكن في الحقيقة الأمر ليس بهذه السهولة فمن المهم معرفه  كيف ومتى نتناول الفواكه   . 
إذا!!ما هي الطريقة الصحيحة لتناول الفاكهة؟ 
أكل الفاكهة لا يعني تناولها بعد الطعام !
*  بل ينبغي تناولها على معدة فارغة. 
If you eat fruit like that, it will play a major role to detoxify your system, supplying you with a great deal of energy for
weight loss and other life activities
إذا كنت تأكل الفاكهة بتلك الطريقة "واعني أكل الفاكهة على معدة فارغة"  فذلك  سيؤدي بدور رئيسي  وفعال لإزالة سمية جهازك الهضمي، وفي نفس الوقت سوف يمد الجسم بقدر كبير من الطاقة اللازمة  لإنقاص الوزن وغيرها من أنشطة الحياة المتعددة . . 
 
FRUIT IS THE MOST IMPORTANT FOOD.
 Let's say you eat two slices of bread and then a slice of fruit. The slice of fruit is ready to go straight through the stomach into the intestines, but it is prevented from doing so. In the meantime the whole meal rots and ferments and turns to acid. The minute the fruit comes into contact with the food in the stomach and digestive juices, the entire mass of food begins to spoil....  So please eat your fruits on an empty stomach or before your meals! You have heard people complaining — every time I eat watermelon I burp, when I eat durian my stomach bloats up, when I eat a banana I feel like running to the toilet, etc — actually all this will not arise if you eat the fruit on an empty stomach. The fruit mixes with the putrefying other food and produces gas and hence you will bloat!  
  الفاكهة هي أهم غذاء  
لنفترض انك تناولت شريحتين من الخبز وبعد ذلك أكلت شريحة  فاكهة.  شريحة الفاكهة على استعداد للذهاب مباشرة من المعدة إلى الأمعاء، ولكنها منعت من القيام بذلك. 
وفي هذه الأثناء الوجبة بكاملها( شريحتي الخبز) ستتعفن  وتتخمر وتتحول إلى حامض. في اللحظة التي تلامس بها  الثمرة الطعام في المعدة والعصارة  الهضمية فان كتله الطعام تبدأ بالفساد ....
لذا رجاءا تناول الفاكهة على معدة فارغة أو قبل وجبات الطعام!
لابد انك سمعت الناس يتذمرون قائلين " في كل مرة كنت أتناول بها  البطيخ   أتجشأ" ،أو "عندما أكل فاكهه محدده  فان معدتي تنتفخ"  ، " بمجرد تناولي الموز أشعر بحاجه ملحه للذهاب إلى المرحاض"  ،... الخ  في الواقع كل هذه المشاكل لن تحدث إذا أكلت الفاكهة على معدة فارغة. ثمرة الفاكهة ستختلط مع غيرها من المواد الغذائية المتعفنة وتنتج الغاز، وبالتالي سوف تشعر بالانتفاخ ! 
 
Graying hairbaldingnervous outburst, and dark circles under the eyes all these will NOT happen if you take fruits on an empty stomach. 
There is no such thing as some fruits, like orange and lemon are acidic, because all fruits become alkaline in our body, according to Dr. Herbert Shelton who did research on this matter. If you have mastered the correct way of eating fruits, you have the Secret of beauty, longevity, health, energy, happiness and normal weight.
 ( الشيب   ، الصلع ، الغضب ، والدوائر السوداء  تحت العين  كل  ذلك لن يحدث  إذا كنت تتناول الفاكهة ومعدتك فارغة .
 ووفقا لما ذكره الدكتور {هربرت شيلتون}  الذي اجري مجموعه من البحوث حول هذه المسألة :-" لا يوجد ما يسمى بفواكهه حمضيه مثل البرتقال والليمون ، وذلك لأن جميع الفواكه تصبح قلوية داخل أجسامنا  .إن كنت تتحكم بالطريقة الصحيحة لتناول الفواكه ، فأنك ستملك كل من  سر الجمال ، طول العمر ،الصحة والطاقة والسعادة والحصول على الوزن الطبيعي.  
When you need to drink fruit juice - drink only fresh fruit juice, NOT from the cans. Don't even drink juice that has been heated up. Don't eat cooked fruits because you don't get the nutrients at all. You only get to taste. Cooking destroys all the vitamins. 
 
But eating a whole fruit is better than drinking the juice. If you should drink the juice, drink it mouthful by mouthful slowly, because you must let it mix with your saliva before swallowing it. You can go on a 3-day fruit fast to cleanse your body. Just eat fruits and drink fruit juice throughout the 3 days and you will be surprised when your friends tell you how radiant you look!  
عندما ترغب بشرب عصير الفاكهة   فأشرب عصير الفاكهة الطازجة فقط وليس المعلب،ولا تشرب العصير الذي تم تسخينه.
 لا تأكل الفواكه المطبوخة  لأنك لن تحصل على المواد المغذية المفيدة على الإطلاق. كل ما ستحصل عليه هو  الطعم . فالطبخ يدمر الفيتامينات.
والأفضل تناول الفاكهة بكاملها بدلا من شرب العصير. ولكن  إن كان لا بد أن تشرب العصير فاشربه عن طريق الفم و ببطء، وهكذا ستسمح باختلاط  العصير مع اللعاب قبل بلعه.  
عمل حميه الفاكهة وذلك-  بالصيام لمده 3 أيام  خلالها لا تتناول أي طعام  غير الفواكه  وبذلك تطهر وتنظف الجسم.- بمعنى "مجرد أكل الفاكهة وشرب عصير الفواكه طوال 3 أيام " ، وسوف تفاجأ عندما يقول لك  أصدقائك كم تبدو مشرقا ومبتهجا ! 
KIWI
Tiny but mighty. This is a good source of potassium, magnesium, vitamin E & fiber. Its vitamin C content is twice that of an orange.  APPLE:
 An apple a day keeps the doctor away? Although an apple has a low vitamin C content, it has antioxidants & flavonoids which enhances the activity of vitamin C thereby helping to lower the risks of colon cancer, heart attack & stroke.  STRAWBERRY:
 Protective Fruit. Strawberries have the highest total antioxidant power among major fruits & protect the body from cancer-causing, blood vessel-clogging free radicals.  ORANGE :
 Sweetest medicine. Taking 2-4 oranges a day may help keep colds away, lower cholesterol, prevent & dissolve kidney stones as well as lessens the risk of colon cancer. 
WATERMELON:
 Coolest thirst quencher. Composed of 92% water, it is also packed with a giant dose of glutathione, which helps boost our immune system. They are also a key source of lycopene — the cancer fighting oxidant. Other nutrients found in watermelon are vitamin C & Potassium. 
 
GUAVA & PAPAYA:
 Top awards for vitamin C. They are the clear winners for their high vitamin C content.. Guava is also rich in fiber, which helps prevent constipation. Papaya is rich in carotene; this is good for your eyes. 
ثمار الكيوي : الكيوي ثمره صغيرة ولكن قوية. فهي   مصدر   جيد للبوتاسيوم  والمغنيسوم وفيتامين   E بالاضافه للألياف .كما أنها تحتوي على ضعفي كميه فيتامين  C  الموجودة في البرتقال  ثمار التفاح  : تفاحة يوميا تغنيك عن الطبيب؟ على الرغم من إن  التفاح يحتوي على نسبة منخفضة من فيتامين C، ولكنه يحتوى  على المواد المضادة للأكسدة  التي تعزز من نشاط فيتامين (C) مما يساعد على خفض مخاطر الإصابة بسرطان القولون ، أو الإصابة  بنوبة قلبية والسكتة الدماغية.
ثمار الفراولة : تعتبر الفراولة فاكهه الحماية والوقاية. وتحتوي على أعلى نسبه مضاد للأكسدة بين أهم أنواع الفاكهة.كما تحمي و الجسم من مسببات السرطان ،ومن  انسداد الأوعية الدموية  . 
ثمار البرتقال : أحلى دواء. فان تناولت مابين 2-4 من البرتقال يوميا فستبعد عنك نزلات البرد وسيخفض نسبة الكولسترول ، كما ستعمل على الحيلولة دون الإصابة بحصى الكلى وأذابه حصى الكلى  ، وكذلك يقلل من مخاطر الإصابة بسرطان القولون. ثمار البطيخ :  أفضل  وأروع فاكهه  تقضي على العطش. تتألف من 92 ٪ من المياه ، كما أنها محملة بجرعة عملاقة من الجلوتاثيون(نوع من الأحماض الامينية ) ، والتي تساعد على تعزيز جهاز المناعة لدينا. كما أنها تشكل مصدرا رئيسيا للالليكوبين – مكافح عامل أكسده  السرطان. كما يحتوي على  فيتامين (C) و للبوتاسيوم. الجوافة والبابايا : تستحقان أفضل الجوائز لاحتوائهما على اعلي نسبه من فيتامين  (C) و الجوافة غنية أيضا بالألياف ، مما يساعد على منع الإمساك. البابايا غنية بالكاروتين ، وهذا جيد لعينيك.

Drinking Cold water after a meal = Cancer!
 Can u believe this?? For those who like to drink cold water, this article is applicable to you. It is nice to have a cup of cold drink after a meal. However, the cold water will solidify the oily stuff that you have just consumed. It will slow down the digestion. Once this 'sludge' reacts with the acid, it will break down and be absorbed by the intestine faster than the solid food. It will line the intestine. Very soon, this will turn into fats and lead to cancer. It is best to drink hot soup or warm water after a meal. 
 
A serious note about heart attacks
 HEART ATTACK PROCEDURE':
 (THIS IS NOT A JOKE!) 
Women should know that not every heart attack symptom is going to be the left arm hurting. Be aware of intense pain in the jaw line. You may never have the first chest pain during the course of a heart attack. Nausea and intense sweating are also common symptoms.. Sixty percent of people who have a heart attack while they are asleep do not wake up. Pain in the jaw can wake you from a sound sleep. Let's be careful and be aware. The more we know the better chance we could survive. 
A cardiologist says
 if everyone who gets this mail sends it to 10 people,
 you can be sure that we'll save at least one life. 
 
 
شرب الماء البارد بعد تناول الوجبة يعني السرطان!
هل  يمكنك تصديق هذا؟ بالنسبة لأولئك  الذين يحبون شرب الماء البارد ، هذا المقال مناسب  لهم  . وسيكون لطيفا  تناول قدحا من المشروب البارد بعد الوجبة الغذائية. ومع ذلك ، فإن الماء البارد  سوف يعمل على  تجميد  المادة الزيتية التي استهلكتها توا. و سيبطئ عملية الهضم. وعندما   يتفاعل هذا الراسب مع الحامض ، فسوف يتكسر وتمتصه الأمعاء أسرع من الطعام الصلب. وسوف يبطن الأمعاء. وسريعا  ، يتحول إلى دهون  التي ستودي إلى السرطان. فمن الأفضل شرب شوربة ساخنة أو ماء دافئ بعد وجبة طعام. ملاحظة مهمة وجدية حول  نمط النوبات القلبية ': (هذه ليست مزحة!)
على النساء أن يعلموا أن الألم الذي نشعر به  في الذراع الأيسر والمعروف كعرض من أعراض الأزمة القلبية.  ليس هو الوحيد بل يجب الانتباه للألم  الحاد في خط الفك السفلي فهو عمن أهم أعراض النوبة القلبية ذلك انك قد لا تشعر أبدا  بألم الصدر أثناء أول  نوبة قلبية. الغثيان و العرق الشديد أيضا من الأعراض.. ستين في المائة من الأشخاص الذين يصابون بنوبة قلبية بينما هم نائمون لا يستيقظون. بينما يوقظك ألم الفك من نوم عميق.   لنكن حذرين . وبذلك تكون لدينا  فرص نجاة أفضل بإذن الله.

يقول أحد أطباء القلب لو أن كل من يحصل على هذا البريد يرسله إلى 10 شخصا ، فأننا سوف ننقذ حياة واحد على الأقل

Thursday, May 10, 2012

Waislam Tusilalamike,Kwani Tumewaandaa?


Ndugu yangu katika imaan,
Nimeipenda sana hoja hii iloandikwa na host wa HakiForums mpaka nimeona niiweke hapa nanyi muweze kupata wasaa wa kutafakari juu ya hili.
--------------------------
Assalaam aleykum,leo napenda tutazame viongozi wetu kutokuwa na maadili,swali ni je,tuliwaandaa na tunamikakati gani?
   Kumekuwa na malalamiko juu ya baadhi ya waumini wetu wa kiislam wanafanya vibaya katika uongozi.
  Siku hizi mazingira yamebadilika sana,aliyesoma madrasa unaweza kukuta hana tofauti na asiyesoma! Japo wengi waliosoma na kamua hujitahidi katika maisha yao.
   Wengi waliosoma dini basi utakuta elimu ya mazingira hawana na wale ambao wanaelimu ya mazingira basi elimu ya dini hawana au wapo wachache sana.
   Kutokana na kuwa na wasomi ambao hawajui dini yao ambao ndio haohao wanaotegemewa kuwa viongozi wakubwa wa nchi yetu na baada ya kuwa viongozi huitizama dunia na kufanya ufisadi tu. Kisha tunakaa pembeni na kulaumu kuwa wanauaibisha uislam kwani tuliwaandaa katika mazingira ya dini na kumtii Allah(s.w) na mtume wake?

   Badala ya kuweka mikakati ya kuandaa vijana watu wamekalia utaasisi na madhehebu na kupigana vijembe na wakati mwingine hata kukwamishana katika maendeleo.

    USHAURI WANGU
Kuwe na kamati maalum ya kuwafunda viongozi na hata kuwachukulia hatua ya kuwaonya na kama wataendelea basi watangazwe na watengwe katika jamii ya kiislam na endapo watakufa basi wasizikwe kiislam.
  Waislam kwa umoja nchi nzima yeyote atakayekwenda kinyume na maadili kutoka nyumbani hadi katika utawala aadhibiwe kwa kutengwa na kutokuhudumiwa kwa chochote na waislam.
  Waislam wote washikamane pamoja na atakayekengeuka basi waislam wamtenge  abaki mwenyewe.

   Kila wakati viongozi waandaliwe ili kuwafanya kumwogopa Mungu na kumtumikia Mungu badala ya kutumikia matamanio yao tu. Viongozi wapewe semina mara kwa mara ili wajengewe uwezo wa kiroho na imani.
   Dini na siasa nisawa na binadamu na upumuaji wa hewa ya oksijeni au samaki na maji hivyo ni viitu visivyotengana kamwe,kimoja kikiondoka basi kingine hakina maisha.
   Propaganda za kutenganisha elimu zimetumaliza ila sasa Alhamdulillah waislam wamefunguka na elimu zote zinasomwa kwa bidii. Propaganda nyingine inayotumaliza waislam ni hii ya kudanganywa kuwa kuchanganya dini na siasa ni dhambi na mwishowe tumetawaliwa kila nyanja.

  Viongozi wetu mtakuwa mas'ul kwa kutupeleka ambako sio lengo,kwanza unganeni nasi waumini tutawafuata bila tabu. Viongozi ndio wanaoanzisha uhuishaji wa uislam na waumini tunafuata. Tukiamua kuanza kuwatenga wanaokwenda kinyume na uislam haraka sana tutafanikiwa kuinyoosha jamii yetu.

Thursday, May 3, 2012

Harakati za wamishionari kuritadisha waislamu

Ni mara chache sana kumekuwa na mafanikio ya kuwabadilisha Waislamu kuingia katika Ukristo, lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Waislamu wamekuwa wagumu sana kuingia katika dini nyingine ama iwe katika zama za Ukoloni au hata sasa. Harakati za kuwafikia Waislamu kwa lengo la kuwabadili itikadi zao haswa zilianza wakati wa ukoloni.

Wamisionari wa makanisa mbalimbali walifanyakazi bega kwa bega na Serikali za Kikoloni, miongoni mwa majina maarufu sana ya Wamisionari kwa Waislamu ni kama yafuatayo: Henry Martyn, Pfander na William Cary India, Lafigerie huko Algeria na Samuel Zwemer na William Gairdner katika ulimwengu wa Kiarabu walitumia muda wote wa maisha yao bila hata kupata Muislamu mmoja aliyesilimu.

Baada ya kuona kwamba harakati zao hazikuzaa matunda wamisionari waliitisha mkutano wa Misri uliofanyika 
CAIRO mwaka 1906 ili kuweka mikakati zaidi ya kuwasilimisha Waislamu.

Ikielezewa kama ni ukurasa mpya wa harakati za kuwasilimisha Waislamu Mkutano huo wa Misri ulihudhuriwa na wawakilishi 60 kutoka katika makanisa takribani 30. Mkutano huo wa 
CAIRO ulifuatiwa na ule wa Edinburgh MWAKA (1910), Lucknow (1911) na Mkutano uliofanyika Jerusalem (1924).
Mikutano hiyo kwa kiasi kikubwa ilipelekea kuchuliwa hatua mpya mfano maeneo ya Waislamu yaligawanywa kwa makanisa hayo na wamisionari wakaanza harakati zao za Ukoloni wa kiroho ambao hata hivyo ulishindwa kuonyesha mafanikio katika ulimwengu wa Kiislamu isipokuwa Indoniesia.

Lakini wamisionari walionyesha uhai (nguvu) katika maeneo mengine ya Asia na Afrika. Mnamo mwaka 1985 takribani robo million ya wamisionari wa Magharibi walikuwa katika Afrika na Asia pekee wakiwakilisha jumuia 3500 za wamisionari huko Magharibi mwa Afrika. 
Nchi za Magharibi hutumia kiasi kingi sana cha fedha kwa shughuri ya kueneza Ukristo kwa mujibu wa David Warren Mhariri wa Enyclopedia ijulikanyo kama World Chrestiani Enyclopedia (yaani insaiklopidia ya ulimwengu wa Kikristo).

Misheni walitumia Us 70 billion mwaka 1970, $1003 billion mwaka 1980 na matarajio ya bajeti kwa mwaka 1985 yalikuwa dola $127 billion. 


Wamatumia kila chombo wanachoona kinafaa ili kuweza kuzifika. Mwaka 1984 palikuwa na Radio zao 21000 zikitanga kwa lugha mbalimbali. Mwaka 1984 walisambaza vitabu agano jipya kiasi cha nakala 64 million. Wastani wa idadi ya nakala zilizoenezwa bure katika miaka 60 iliyopita mpaka kufikia mwaka 1984 zilifikia nakala 43 million.
Kwa kutumia vivutio kama huduma za jamii shule Mahospitali juhudi zao zilipata mafanikio kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka katika Misionari kinasema kwamba watu 115.9 million waliweza uingia katika Ukristo wakati wa Miongo saba ya karne hii. Pamoja na kukumbana na ugumu wa kuwabadili Waislamu wamisionari hawakukatia tamaa katika harakati zao hizo.

Tunakuta katika kipindi cha hivi karibuni mkutano wa Lausanne juu ya uenezwaji wa Injili duniani uliofanyika mwaka 1974 ulilitazama kwa makini suala la kufikia katika maeneo yasiyofikiwa hasa maeneo ya Waislamu.

Miongoni mwa watu bilioni tatu ambao walikuwa hawafikishiwi ujumbe (Ukristo) 24% walikuwa Waislamu.

Mkutano huo wa Lausanne uliofatiwa na ule wa Pasadena uliofanyika mwaka 1977, Pia Pasadena ukafuatiwa na Willowbank mwaka 1978 na mwisho mkutano wa Amerika ya Kaskazini ulilenga kufikisha Ukristo kwa Waislamu uliofanyika Gleni Eyrie Colorado kwa muda wa wiki moja mwezi Oktoba.

Watu 150 kutoka sehemu mbalimbali duniani walihudhuria Mkutano huo kutokana na mkutano huo taasisi iliyojulikana kama Smuel Zwemer ilianzishwa huko Califonia ya Kusini na Bw. Mc Curry akiwa ndiye mkurugenzi wa taasisi hiyo.

Taasisi hiyo ndiyo ilikuwa na jukumu la kuratibu harakati zote za kuwafikishia Waislamu injili.
Leo hii kuna Misheni nyingi mia kwa mamia zinazoshughurika na harakati za kuwafikishia Waislamu Injili. Baadhi yao ni kama vile Gairdner ambayo sasa inajulikana kama (People international), operation mobilazation operashen mobilaizeshen, Evangiliko Misionari feloship, Feloship of feirz to Muislim n.k.

Wamisionari wao wanaamini kwamba Uislamu ni dini ya shetani na hii siyo itikadi ya zamani kama Wakristo wanavyotutaka tuamini hivi sasa kwamba waliokuwa wakiamini hivyo ni Wakristo wa zamani hata hivi sasa Wakristo wanaamini hivyo.
Hebu tunukuu maelezo yafuatayo ya mmoja wapo wa washiriki wa mkutano ule wa Colorado mwaka 1978,
Bw. W. Stanley Moone han Mkuu wa shirika lijulikana kama World Vision. Alinukuliwa akisema: “Mapambano yetu si dhidi ya damu au mwili, maadui hawa ni kama nyenzo tu katika mikono ya bwana katili ambaye amekusudia kuwashikilia ndugu zetu kwa kutumia siraha za Ustawi wetu tunaweza kabisa kuzuia adui huyo.

” 
Mojawapo ya harakati za wamishionari hao za kutaka kutuokoa kutoka katika mikono ya shetani ni zile za (RsmT) Read sea Mission Team jumuia ambayo inafanyakazi za kuwafikia waliobaki nyuma kimaendeleo, wasio na elimu na mafukara, tasisi hiyo ya (RsmT) hufanya kazi kwa siri kubwa.

Kwa mara ya kwanza niligundua shughuli za taasisi hiyo miongoni mwa Waislamu pale nilipokuwa Uingereza mnamo January mwaka 1983. jitihada zilizofanywa na mimi binafsi na marafiki zangu kupata moja ya nakala za katiba/malengo ya Taasisi hiyo zilishindikana.
Katika siku zilizofuata ilikuwa January 17 1983
BW. John Oakfield alafu na mkurugenzi wa taasisi hiyo au mkurugenzi mkazi aliniambia kwamba wao hawapo tayari kutoa nakala ya malengo ya taasisi yao kwa mtu ambaye hawapo naye pamoja yaani mtu ambaye hawana imani kuwa anakubaliana na malengo ya taasisi yao.

” 
Utafiti wangu (wa mwandishi wa makala haya) uliendelea mpaka pale Mwenyezi Mungu aliponijalia kuzikamata nakala 10 za (RsmT) zilizo kusudiwa kupewa wafanyakazi.

Katika vitabu hivyo vipo vingine vilivyokuwa na vichwa vya habari “Waislamu watasikia kufungua mlango.

” Pia Masomo juu ya Uislamu na jinsi ya kuwashuhudia kufikia Waislamu” vitabu vilivyoandikwa na Jack Budd.”

Kauli mbinu ya (RsmT) ni kwamba “Waislamu watasikia”
Ni taasisi mashuhuri iliyo kusudia kuwahubilia Injili ya Yesu kwa Waislamu,

(RsmT) inatilia mkazo uenezaji wa Injili wa mtu binafsi kupitia (a) Mahospitali (b) Katika maeneno ya elimu (c) Katika nyanja maeneo ya kilimo (e) Tafsiri katika lugha mbalimbali n.k. 
(RsmT) iliasisiwa na Dr. Lionel Gurney mwaka 1951 huyu bwana alitumai miaka 17 katika kazi yake hiyo ya Umishionary huko Mashariki ya mbali, kiongozi wa sasa ni Bw.Wolfang Stumpf amabaye office yake iko 87 Alcester Road Mosley Bir mingham. B 13 8E B.

(RsmT) ina office Australia Canada, Ujeruman, Uholanzi, Korea, Newzeland, Sweden, Uk na U.S.A. chanzo cha fedha kwa taasisi hiyo hakikuwekwa wazi wala taasisi hiyo haitoi matangazo ya kuomba Misaada ya fedha.

Kazi ya (RsmT) ilianza Aden na Arabia ya Kusini wakati huo ukiwa chini ya uthibiti wa Uingereza ambao uliendelea mpaka 1972. kuanzia mwaka 1956 – 1978 (RsmT) ilishaingia nchini Ethiopia.

Pia kule Eritrea. 
Mwaka 1969 Taasisi hiyo ilifanya kazi katika jamhuri ya watu wa Yemen Mpaka mwaka 1981 ilipoondoka.

Pia kuna ushahidi kuwa taasisi hiyo inafanya kazi zake nchini Somalia. Mnamo mwaka 1975 timu hiyo ilianza kazi zake nchini Djibouti iliyokuwa wakati huo na wakazi 350,000 ambapo 100% asilimia mia ya wakazi wake walikuwa Waislamu shughuli zao zilikuwa zikifanyika katika duka la vitabu lililojulikana kama “Libraries Emmanuel” Duka hilo la vitabu lilikuwa liendeshe masomo ya lugha ya Kifaransa, Kingereza na pia masomo ya fasihi.
Timu hiyo ya wafanyakazi wa (RsmT) imekuwa ikitafsiri Biblia katika lugha za Afar na Pia kuandika dikshorani (kamusi) ya English/Afar/French.

Kazi hiyo ya Tafsiri ya Biblia imekuwa ikifanywa na Yvonne Genet kwa msaada wa watu wawili kutoka kabila la Afar mmoja kati yao ni Mwislamu, na yule mwingine alikuwa mkomunist.

Mwandai wa kamusi hiyo alikuwa ni Bw. Enid. Parker.

Hii ni njia moja muhimu na isiyo na upinzani ya kuingia nchi ili kuweza kujifanyia mambo ambayo mhusika anakusudia kuyapata timu hiyo ya Djibouti pia huandaa kanda za kaseti na kisha kuwapa watu ambao huzisambaza kanda hizo katika maeneo mbalimbali.

Mnamo mwaka 1987 nchini Djibouti kulikuwa na wafanyakazi 29 wa (RsmT).

Watu hao wamesema kwamba kwa kutumia mbinu hiyo watu wengi wameingia katika Ukristo.

Djibouti ni (RsmT) tegemeo ni moja ya mpango uliotoa mafanikio mkubwa amesema Bw. Stumpf,

kikundi hicho cha watu 29 ni mashuhuri zaidi katika maeneo matano nchini Djibouti nayo ni (a) Mji Mkuu wa Djibouti (b) Hanley (bonde la Hanley) karibu na Yoboki (c) Adailou, (d) Randa na (e) Ali Subieh.

Wawili kati ya wafanyakazi 29 wanafanyakazi katika hospital na wako katika wodi za kina mama wadi yenye vitanda 40. katika eneo la Ali Sabieh.
Katika ripoti yao kwa Uongozi wa (RsmT) wafanyakazi hao wa hospitali wanaandika: “Tunamuomba Mungu wetu atupe maarifa zaidi juu ya namna ya kumpendeza yeye ili tuweze kushughulika na wale tunaowahudumia hapa na pia wale tunaofanya nao kazi pamoja. Kadili suala lugha linavyopatiwa ufumbuzi hivi sasa uwezo wa kuwasiliana na watu umeongezeka sana na mahusiano baina yetu na wenyeji yamekuwa mazuri, wakati wa sikukuu ya Krismasi huwa tunawaalika baadi ya wenzetu (watu) kuja kusherehekea ambao huweza kupata habari malimbali za historia ya sikukuu hiyo ingawa bado hupajawa na mafaniko makubwa sana lakini tuna amini kwamba tupo katika kipindi cha kulima na kupanda.”…

(RsmT) Pakistan’s open Door anasema wamisionari wa Kikristo waliokuwa wakitoa huduma hiyo huko Pakistani mwaka 1833.

Hivi sasa kuna jeshi la watu 500 nchini Pakistan ambao hata hivyo hawajafika maeneo mengi bado kuna eneo kubwa sana ambalo halijafikiwa.

Miongoni mwa wafanyakazi (RsmT) walioko Pakistan ni hawa: Ian na Dorca, Denness, Anitra Lockwood, Edda Dohm (kutoka Ujeluman Magharibi), Rod na Miriam Vardy RsmT wanafanya kazi zao miongoni mwa wabaluchi 600,000 Karachi na katika Kijiji jirani na Mardan NWFP.

Vile vile katika eneo linalojulikana kama Jacobabad Baluchistan.
Wameanzisha huduma ya matibabu katika eneo hilo la Baluclustan, maili chache kutoka Jacobabad eneo lenye wakazi wengi sana likiwa na mabwanyenye (mabepari) wanaomiliki mashamba makubwa makubwa na wafanyakazi vibarua wenye kukodi mashamba kwa kulipia ambao wengi ni fukara.
Ni katika maneno hayo ya watu mafukara ambako wafanyakazi hao wa RsmT hupenda kufanya kazi zao moja ya shughuli zao ni kutafsiri Biblia katika lugha ya kibaluchistan.

Kwa mujibu wa ripoti ya (RsmT) kwa mwaka 1987 kundi hilo hufanya kazi pia kwa watu wenye ukoma wa Afghan katika eneo la mpakani.

Mkurugenzi mkazi wa RsmT U.K. Bw. Peter Draper anasema katika barua yake mwaka 1987 kwamba “matatizo tunayokabiliana nayo katika maeneo ya Waislamu wa Pakistani ni kule kushindwa kujua matokeo ya huduma zetu baada ya muda fulani (yaani hawawezi kutabiri matokeo ya kazi zao)

Nchini Sudan kundi la wafanyakazi wa (RsmT) limekuwako huko tangu mwaka 1978 miongoni mwa watu wa kabila la Beja linasemekana kwamba lilikuwa katika hali ya kukata tamaa, lilikuwa gizani, halikuwa na matumaini kabisa ndio wao wakaamua kuanza kazi yao kwa kabila hilo kwa sababu wanaamini kwamba ni rahisi sana kufikisha ujumbe wao na wakakubaliwa.
Kundi hilo lilikuwa na nguvu sana katika eneo linalojulikana kama Port Sudan na maeneo yanayozuguka mpakani mwa Misri.

Kiongozi wa kundi hilo Bw. Stumpf akiongoza kongamano lililojadili kazi ya kueneza Injili katika eneo la Port Sudan mwaka 1986. 
Kundi hiko lilianzisha Koloni katika sehemu inayoitwa Bir Eit jirani na Port Sudan ambapo walianzisha kliniki na bustani.

Tunasoma katika ripoti zao kina Loek de vette kutoka mwezi wa (11 – 1985) na Mary Grundy ambaye alikuwa akifanya kazi katika kitengo cha afya cha Sudan na Loek de vette akifanya kazi kama tabibu.
Lengo la kazi zao kama Mary anavyosema: “Ni jambo jema si kwa upande wa suala la chanjo kwa pekee bali pia inatia moyo kuona kwamba mawasiliano na watu yamekuwa mazuri sala zangu zote huwa ninaomba kwamba uchu huo uendelee ili kwamba watu wengi zaidi wawezi kupokea Injili.”
Hapa Loek anaelezea kwamba pamoja na kufanya kazi ya utabibu lakini jukumu kubwa alilonalo ni kuhakikisha kwamba anaeneza Injili. RsmT Pia iliingia hadi Tumalah na Kol koi (wadi Amur) lakini baada ya muda wafanyakazi wa taasisi hiyo walifukuzwa na wananchi.
Timu hiyo ya (RsmT) ulianzisha huduma ya hospital katika eneo la Amur. Mwaka 1985 lakini hospitali hiyo ilifungwa muda mfupi baada kufunguliwa kwa sababu wakuu wa kijiji hicho walikataa kuwapa ruhusa wafanyakazi wa RsmT kuishi katika eneo lao.

Baada ya kukataliwa kuwapo katika eneo la Amur hatimae walikimbilia katika eneo jingine lililojulikana kama Eit ambalo lipo jirani na (wadi Amru) kiasi cha mwendo wa masaa (2) kwa gari katika maeneo yote ya Waislamu eneo ambalo lilikuwa rahisi au watumishi wa RsmT hawakupata upinzani ni Mali ambapo kabila la Serakile linalopatikana upande wa Kaskazini Magharibi ndilo lililokuwa shina la harakati zao hizo. 


Licha ya Mali timu hiyo ya watu wa (RsmT) pia ilikuwa inafanya kazi zake katika maeneo ya Ulaya Magharibi na Canada Miongoni mwa wahamiaji Waislamu majukumu yao ni kuwasiliana na wahamiaji wanafunzi wageni na makundi mengine ambapo walianzisha urafiki nao kwa lengo la kuwafikishia Injili. 
Lakini kuna dalili katika Makaratasi (kumbukumbu) zao kuwa kwa uchache sana wameweza kuyafikia maeneo ya Kiarabu ndio maana tunasoma katika moja ya taarifa za RsmT juu ya Helen Hislop kule Sharjah na mahitaji ya kuongeza wafanyakazi zaidi.

Mfanyakazi mwingine wa (RsmT) kwa jina Magda Bach tangu alipotimuliwa Yemen baadae akaenda Misri katika eneo lililojulikana kama Aswan 40km Mashariki ya Aswan.

Mara kwa mara hufanya kazi katika Hospital moja huko Aswan. “Watu wengi huja katika Hospitali yetu na kuweza kusikiliza Maneno ya Mungu.” Anasema Magda.

Watumishi wengi tu wa RsmT inasemekana wanajifunza Kiarabu huko Amman Jordan. 
RsmT inajaribu kufanya kazi (2) kwa wakati mmoja kueneza habari za Ukristo na wakati huo huo kuwasaidia wale wasio na uwezo (kuwapatia watu mahitaji muhimu kama elimu Matibatu).
Kwa hiyo ndio kusema RsmT huweza kusambaza Ukristo kwa njia ya uanzishwaji wa mashule hospitali n.k. kuwavuta watu waweze kuja katika maeneo yao na hapo kazi ya kuwafikishia neno huanza. Ni kazi ya kiroho ambayo ndiyo lengo la juhudi zetu zote hizi lakini hata hivyo pia inabidi kazi hiyo ya kiroho iambatane na misaada ya kawaida. Kiongozi wa RsmT Bw. Stumpf alisisitiza: “Kama lengo la kuwafikishia watu wengi neno la Mungu basi tutakuwa tumepoteza haki ya kusikilizwa.”

RsmT huwatafuta watu wa kujitolea katika maeneo ya (nyanja) za kielimu, kilimo, Matibabu, Uhandisi na ujenzi stadi.
Katika moja ya taarifa zilizogunduliwa kutoka RsmT zile zinazosema kwamba wale wanataka kuwa wawakilishi wa RsmT lazima wapitie mafunzo ya mwaka kabla ya kufanywa kuwa Mwakilishi/mtumishi wa RsmT.
Wamisionari katika harakati zao wanawalenga sana wale watu ambao waliokuwa nyuma kimaendeleo na wasiokuwa na elimu miongoni mwa jamii ya Waislamu.

Mtego wanaoutumia kuhakikisha wanawanasa watu hao ni kwa kuanzisha huduma ya misaada katika kilimo, elimu pamoja na huduma za afya. 
Ili kuweza kuanzisha kanisa sehemu wamisionari hao kwanza huwatafuta wenyeji kama wawili hivi au mmoja katika eneo husika kisha humsomesha mtu yule na kumpa msaada wa fedha ili kuweza kuifanya kazi hiyo sawasawa.

Kwa kuwa mtu yule ni mwenyeji wa pale atajua nani rahisi kupokea ujumbe kwani ataifanya kazi hiyo akipata mtu mmoja wataunganika nakuwa wengi hasa ukizingatia watakuwa na huduma za jamii. 
Lakini wamisionari waliofanya kazi ya chini Djibouti wanakili kwamba kumekuwa na ugumu sana katika kuwapata waumini mfano wanasema kwamba wakati wakiwa Djibouti wale watu waliokuwa wakija kwao kupata huduma za shule, matibabu na huduma zingine huwa wanasema kabisa “sisi ni Waislamu hivyo hatupo tayari kuingia katika Ukristo.

” Hili ni jambo la kufurahisha kuona kwamba Waislamu wamekuwa madhubuti katika itikadi (dini yao) na bila shaka itawaamsha Waislamu. 
Mirianne Leuriberger ambaye alikuwa anaendesha kriniki moja huko Haule Valley Djibouti anasema: “wakati Fulani huwa nakatishwa tamaa kabisa na jinsi watu hao walivyo na msimamo katika imani yao, lakini hata hviyo najua kwamba itachukuwa sana ili kuweza kukubalika kwa sababu lengo letu si afya tu kuwapatia huduma za afya pekee bali pia kuwafanya wampokee Kristo.” Ernst Leuenberger, Pia katika hilo la bonde la Haule anasema: “Kwa hakika hata baada ya muda wa miaka yote ya utumishi hapa hapajawa na mafanikio ya wazi katika kazi yangu ya kiroho watu wamekuwa wakihitaji huduma zitolewazo nasi wala siyo ujumbe wa Injili.

” 
Loek de vette anaendelea kusema kwamba hapana ushahidi wa kutosha kuwa watu wamempokea Kristo huko Port Sudan. Katika maombi ya kutaka aombewe ili kazi yake iwe rahisi de vette anasema: “giza bado linawazuguka watu wa Port Sudan kwa sababu hawajampokea Kristo.” Kuhusu wale wanaobahatika kuwapata kuingia katika Ukristo de vette anaongeza kusema kwamba watu huwa hawadumu katika imani na hurejea tena katika dini yao ya awali Uislamu.
Hakuna sababu ya kufarijika na ukweli kwamba Waislamu wamekuwa wagumu kuingia katika Ukristo kwa sababu hatari iliyopo bado ni kubwa, ni wajibu wa kila Mwislamu wenyewe elimu kuutanabaisha Ummah wa Kiislamu juu harakati hizo za watu hawa.

Wednesday, May 2, 2012

UN: Israel inakwamisha shughuli za kutetea haki za binadamu


UN: Israel inakwamisha shughuli za kutetea haki za binadamu
Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeuweka utawala haramu wa Israel katika orodha ya pande zinazozuia shughuli za mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani.
Mkuu wa Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa Navi Pillay ametoa taarifa akisema kuwa Israel imewekwa katika orodha ya pande zinazozuia shughuli za mashirika ya kutetea haki za binadamu.
Siku chache zilizopita nchi wanachama wa Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zilitoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina huko katika Ukingo wa Magharibi.
Jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu pia zimekuwa zikiikosoa vikali Israel kutokana na kuendelea kuwakandamiza raia wasiokuwa na hatia wa Palestina

OIC yalaani kuchomwa moto Qur’ani huko Marekani

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo kiovu cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu katika jimbo la Florida huko Marekani.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa OIC Ekmeleddin Ihsanoglu imesema kuwa dharau ya mtu anayejiita kasisi wa Kanisa la Dove World Outreach Center katika mji wa Gainsville jimboni Florida Marekan dhidi ya Qur'ani ni matokeo ya uhasama na chuki binafsi na ni kinyume na mwenendo wa watu waliostaarabika.
Taarifa ya OIC imesisitiza kuwa mhalifu huyo anapaswa kuchukuliwa hatua. Ihsanoglu amesema kuwa inatarajiwa kuwa viongozi wa dunia hususan huko Marekani watalaani kitendo hicho kiovu.
Kasisi Terry Jones wa Marekani Jumamosi iliyopita kwa mara nyingine alichoma moto nakala za kitabu kitakatifu cha Qur'ani mbele ya Kanisa la Dove World Outreach Center katika mji wa Gainsville jimboni Florida akiwa pamoja na watu wengine karibu 20.
La kustaajabisha zaidi ni kuwa polisi wa mji wa Gainsville waliokuwa mahala hapo hawakuchukua hatua yoyote ya kuzuia uhalifu huo.

Waislamu waongoza Ndanda Sec.

Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2012 shule ya ndanda.


Hakuna division one wala two!!


Yameanzia division three.


Waliopata division three ni 14 na 9 kati yao ni waislamu.

ACSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

P0338 NDANDA SECONDARY SCHOOL CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 14 DIV-IV = 24 FLD = 29


CNO

SEX

CANDIDATE NAME

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

P0338/0501

F
AFSAT YUSUFU
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-E

P0338/0502

F
ASHA MOHAMEDI
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0503

F
ASHURA H LIKWATA
-

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-X ENGLISH-F

P0338/0504

F
BHOKE COSTANTINE
-

FLD

PHYSICS-X CHEMISTRY-F ADV/MATHS-F

P0338/0505

F
ELIZABETH PRENGE
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-E

P0338/0506

F
EPIFANIA N VICENT
18

IV

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0507

F
EVER NGONYANI
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0508

F
FELISTER MWANGA
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-S

P0338/0509

F
GETRUDA M JOSEPH
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0510

F
GISELA F LASWAI
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0511

F
HILDA MILUNGA
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-S ENGLISH-S

P0338/0512

F
HILDA NTILA
16

III

G/STUDIES-S HISTORY-E KISWAHILI-S ENGLISH-E

P0338/0513

F
HIYALA SAIDI
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-S KISWAHILI-E

P0338/0514

F
LILIAN ALPHONCE
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-S

P0338/0515

F
LUCY MBONDE
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X KISWAHILI-X ENGLISH-X

P0338/0516

F
MWAJUMA G ISMAIL
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0517

F
MWAJUMA HASSANI
19

IV

G/STUDIES-S HISTORY-F KISWAHILI-E ENGLISH-F

P0338/0518

F
SUZANA E MAGOMBA
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0519

F
VERONICA MBISE
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0520

F
ZAMDA MROPE
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X KISWAHILI-X ENGLISH-X

P0338/0521

F
ZAMDA MWIZAGU
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0522

F
ZENNA ALLY
18

IV

G/STUDIES-S HISTORY-S KISWAHILI-S ENGLISH-S

P0338/0523

F
ZIADA MOHAMED
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-F

P0338/0524

M
ABDALLAH TWAHA
17

III

G/STUDIES-F HISTORY-S GEOGR-E KISWAHILI-S

P0338/0525

M
ALLY ATHUMANI
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0526

M
ALLY IDRISA
15

III

G/STUDIES-S HISTORY-E KISWAHILI-E ENGLISH-E

P0338/0527

M
ANDREW TAMBA
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0528

M
ANTHONY SHUNGU
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0529

M
BARAKA HAMIMU
19

IV

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-S BAM-F ECONOMICS-F

P0338/0530

M
BAVON MNYAWAMI
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0531

M
CASTROL PATRICK
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0532

M
CHACHA MAKONDO
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X KISWAHILI-X ENGLISH-X

P0338/0533

M
CHIBWANA GEUZA MTIMBE
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0534

M
DAUDI NORBERT
17

III

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-E KISWAHILI-S

P0338/0535

M
DIONIS J MLAPONI
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0536

M
ELIAS JOSEPH
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-S KISWAHILI-F

P0338/0537

M
EMANUEL MWAWA
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0538

M
FABIAN MICHAEL
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0539

M
FARAJI RASHIDI
14

III

G/STUDIES-S HISTORY-D KISWAHILI-E ENGLISH-E

P0338/0540

M
GEOFREY MPANDA
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-F

P0338/0541

M
GEORGE VALENTINO
19

IV

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0542

M
GIDEON J MWAMPYATE
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-F

P0338/0543

M
HABIBU ADAM
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0544

M
HAIFAI C MUHIDINI
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0545

M
HAJI SALUM
15

III

G/STUDIES-S HISTORY-E GEOGR-E KISWAHILI-E

P0338/0546

M
HAMISI AMIDU
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0547

M
HASSAN A JUMA
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-S ENGLISH-S

P0338/0548

M
HASSAN KANTONI
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0549

M
ISAYA UBAMBA
19

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0550

M
JOHN ZAWADI
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-S ENGLISH-F

P0338/0551

M
JOSEPH F CHIKAWE
20

FLD

G/STUDIES-S HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0552

M
JOSEPH KORNEL
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0553

M
JOSEPH MAPUNDA
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0554

M
JUMA A MTIMA
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0555

M
JUMA NGONDO
17

III

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-S ENGLISH-E

P0338/0556

M
KARMON THIAKU
16

III

G/STUDIES-S HISTORY-E KISWAHILI-E ENGLISH-S

P0338/0557

M
KISHIRA KASIMU
17

III

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-E ENGLISH-S

P0338/0558

M
MANAKI ATHUMANI
19

IV

G/STUDIES-F PHYSICS-F CHEMISTRY-F BIOLOGY-E BAM-F

P0338/0559

M
MANZI BAKARI
17

III

G/STUDIES-S HISTORY-E GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0560

M
MOHAMED ISSONDO
-

FLD

CHEMISTRY-S

P0338/0561

M
MOHAMED RASHIDI
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0562

M
MRISHO POKELANA
18

IV

HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0563

M
MUSTAFA CHITANDA
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X KISWAHILI-X ENGLISH-X

P0338/0564

M
NGOSSO ISSA
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-F ENGLISH-F

P0338/0565

M
OMARI MWEMA
-

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S ENGLISH-S

P0338/0566

M
OMAR KILAMBO
15

III

G/STUDIES-S HISTORY-E GEOGR-S KISWAHILI-D

P0338/0567

M
RAJABU M HASSAN
-

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S KISWAHILI-S

P0338/0568

M
RASHIDI SAIDI
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F KISWAHILI-S ENGLISH-F

P0338/0569

M
SADIKI R KAZUMARI
16

III

G/STUDIES-S HISTORY-E GEOGR-E KISWAHILI-S

P0338/0570

M
SAIDI A MUNYUKU
20

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-S

P0338/0571

M
SAIDI I BAKARI
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X KISWAHILI-X ENGLISH-X

P0338/0572

M
SAIDI OMARI
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0573

M
SAID ISMAIL
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0574

M
SALUMU TAKA
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

P0338/0575

M
SIMAI H SIMAI
21

FLD

G/STUDIES-F HISTORY-F GEOGR-F KISWAHILI-F

P0338/0576

M
TWAHA B SELEMANI
18

IV

G/STUDIES-F HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0577

M
TWAHIL HALFANI
16

III

G/STUDIES-F HISTORY-E GEOGR-E KISWAHILI-S

P0338/0578

M
WENYSLAUS CHISAMA
15

III

G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-D ENGLISH-F

P0338/0579

M
WILLIAM NTAPAMBATA
18

IV

G/STUDIES-S HISTORY-S GEOGR-S KISWAHILI-S

P0338/0580

M
YUSUPH MOHAMED
-

ABS

G/STUDIES-X HISTORY-X GEOGR-X KISWAHILI-X

Twitter Bird Gadget