Monday, February 20, 2012

Dua ya kunywa Maziwa


Mtume صلى الله عليه وآله وسلم  amefadhilisha kinywaji cha Maziwa na kasema mtu aombe dua ifuatayo baada ya kunywa maziwa:
 ((عن عبد الله بن عباس رضي الله عنهما: "من أطعمه الله طعامًا، فليقل: اللهم بارك لنا فيه، وأطعمنا خيرًا منه، ومن سقاه الله لبنًا فليقل: اللهم بارك لنا فيه، وزدنا منه، فإنه ليس شيء يجزئ من الطعام والشراب غير اللبن"))  رواه أحمد وأبو داودو قال الألبان حديث حسن
((Imetoka kwa Abdullahi Bin 'Abaas رضي الله عنهما:  "Atakayelishwa chakula kutoka kwa Allaahسبحانه وتعالى aseme "Ee Mola Mlezi Tubarikie nacho, na Utulishe (chakula) bora kuliko hiki";  Na atakayenyeshwa Maziwa  na Allaah سبحانه وتعالى   aseme, Ee Mola Mlezi Tubarikie nayo, na Tuzidishie"  kwani hakuna kitu kinachojazilia katika chakula na kinywaji isipokuwa Maziwa)) Ahmad, Abu Dawuud, na kasema Sheikh Albaani ni Hadithi Hassan.

No comments:

Post a Comment

Twitter Bird Gadget