Monday, April 23, 2012

Allah in the Bible-1



Ukifungua "Al-Kitaab Al-Muqadis(الكتاب المقدس)' (yaani Kitabu Kitakatifu), bibilia hitumiwayo na wakristo wanaozungumza lugha ya Kiarabu neno Allah limetumiwa kila penye nenoMungu au Yehova.


Kwa wale ambao hawafahamu herufi za Kiarabu nimeweka hapa aya kutoka katika Qur'an ili wapate kulinganisha. Katika aya hizi za kiarabu zilizopo hapa chini, neno la Kiarabu "Allah" nimelikoza ili liweze kutambulika kirahisi. Baada ya kulinganisha aya hizi inategemewa kila mmoja ataweza kuona kwamba neno 'Allah' linaonekana katika Qur'an na pia katika Biblia, kwani ni neno la Kiarabu lenye maana ya Mwenyezi Mungu.



Insha'Allah, mifano hii itaondoa mashaka kwa wale walioingizwa kwenye mkumbo wa kuamini kwamba "Waislamu na wakristo wanaamini Mungu tofauti"



Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha ukweli huu isipokuwa kumshauri kila mmoja mwenye mashaka kufanya utafiti wake mwenyewe bila ya upendeleo, chuki na jazba.



[Qur'an 1:1 * tafsiri ya Kiswahili]



"Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu"



"Bismi Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
بسم الله الرحمن الرحيم



[Mwanzo 1:1 * Biblia ya Kiswahili]
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na na nchi"



[Mwanzo 1:1 *Biblia ya Kiarabu]
"Fiy-al-badi' khalaqa Allahu as-Samawawwat wal Ardh" 
فِي الْبَدْءِ خَلَقَ اللهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ،



[Yohanna Mt. 3:16 * Biblia ya Kiswahili]
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa..."



[Yohanna 3:16 * Biblia ya Kiarabu]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu ul 'Aalama hataa badhala"



لأَنَّهُ هكَذَا أَحَبَّ اللهُ الْعَالَمَ حَتَّى بَذَلَ ابْنَهُ الْوَحِيدَ، لِكَيْ لاَ يَهْلِكَ كُلُّ مَنْ يُؤْمِنُ بِهِ، بَلْ تَكُونُ لَهُ الْحَيَاةُ الأَبَدِيَّةُ.



[Luka 1:30 * Biblia ya Kiswahili]
"Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu"



[Luka 1:30 * Biblia ya Kiarabu]
"Laa takhaafiy, yaa Maryam, li-annaki qad wajadt ni'mat(an) 'inda Allahi"



لاَ تَخَافِي يَامَرْيَمُ، فَإِنَّكِ قَدْ نِلْتِ نِعْمَةً عِنْدَ اللهِ



[Luka 3:38 * Biblia ya Kiswahili]
"wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu"



[Luka 3:38 * Biblia ya Kiarabu]
"bni anuusha, bni shiyti, bni Aadama, abni Allahi."



بْنِ أَنُوشَ بْنِ شِيثِ، بْنِ آدَمَ ابْنِ اللهِ



[Mathayo 19:17 * Biblia ya Kiingereza * New King James Version]
Yaani "aliye mwema ni mmoja, naye ni Mungu
"there is none good but one, that is, God"



[Mathayo Mt. 19:17 * Biblia ya Kiarabu]

"laysa ahadun saalihaan illa waahdun wa huwa Allahu"







 [Qu'ran 1:1 - English translation]

"In the Name of God, the Compassionate, the Merciful."
[Qur'ân 1:1 - Arabic transliteration]
"Bismi-Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
[Qur'ân 1:1 - Arabic]
--------------------------------------------------------------------


ENGLISH




[Genesis 1:1 - English Bible - King James Version]

"In the beginning God created the Heaven and the Earth . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic transliteration]
"Fee al-badi' khalaqa Allahu as-Samaawaat wa al-Ard . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic Bible]





 [John 3:16 - English Bible - King James Version]

"For God so loved the world, that . . . "
[John 3:16 - Arabic transliteration]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu al-'Aalama hataa badhala . . . "
[John 3:16 - Arabic Bible]





 [Luke 1:30 - English Bible - King James Version]

" . . . Fear not, Mary: for thou hast found favor with God."
[Luke 1:30 - Arabic transliteration]
" . . . Laa takhaafee, yaa Maryam, li-annaki qad wajadti ni'amat(an) i'nda Allahi."
[Luke 1:30 - Arabic Bible]





 [Luke 3:38 - English Bible - New King James Version]

"the son of Enos, the son of Seth, the son of Adam, the son of God."
[Luke 3:38 - Arabic transliteration]
"bini Anoosha, bini Sheeti, bini Aaadama, abni Allahi."
[Luke 3:38 - Arabic Bible]

No comments:

Post a Comment

Twitter Bird Gadget