Kama unatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
1. Usifikiri kwamba unaupungufu.
2.Jiamini kwamba wewe ni mwenyenguvu za mwili wote.
3. Baada ya kujiamini hakikisha hutazami picha au video za
kusisimua kingono.
4.Ukiona wanawake waliovaa uchi usiwafikiri yaani wapuuze.
5. Jitahidi kufanya mazoezi,kama ni ngumu basi tembea hadi uchoke.
6. Kula matunda mchanganyiko pia kunywa maji ya kutosha.
7. Pendelea mboga za majani.
8. Kula au tafuna mara kwa mara tangawizi,kama kutafuna
ningumu iponde uchemshe kisha unywe,unaweza kuweka
sukari au asali.
9. Pendelea asali sana! Hii ni dawa,pia hata tangawizi ni
dawa. Vitu hivi viwili asali na tangawizi ni muhimu sana.
10. Pendelea kula vyakula vya asili na epuka vya kusindikwa.
mauti"
Kwa kauli hizi inshaallah utapata nafuu na kupona
kabisa.
No comments:
Post a Comment